Stone City FC
We Love Football.
HOSTELI
Malengo yetu makubwa ni kujenga Hosteli za kisasa kwaajili ya Timu.
UWEKEZAJI
Uwekezaji wa vitega uchumi mbalimbali ni nguzo tutakayo isimamia kwaajili ya Timu.
WACHEZAJI
Nguvu kubwa tunaiwekeza kwa wachezaji wa ndani ili kukuza soka letu.
USAFIRI
Timu yetu itajitahidi kuwekeza katika usafiri ili kurahisisha safari zetu.
KIMATAIFA
Malengo yetu ni kushiriki mashindano ya kimataifa.
TAALUMA
Tunazingatia tafiti za kisoka ili kwenda kisasa.
SHABIKI
Shabiki kwetu ni wamuhimu,karibuni sana.
USALAMA
Usalama wa Wachezaji pamoja na afya unazingatiwa.
MAFANIKIO YETU
000025
Idadi ya wachezaji
Habari Mpya.
Tunazingatia kukupa taarifa kwasababu wewe ni wamuhimu kwetu.
NIA,DIRA NA MALENGO YETU
"MALENGO YETU,ni kuhakikisha Stone City inakuwa ndio Timu bora zaidi."
"DIRA YETU”Kuelekea katika SOKA la kisasa na lenye faida katika pande zote."
"NIA YETU ni kuwa andaa vijana wanaocheza mpira wa kisasa zaidi."
Stone City Fc
- Street :Iringa Tanzania
- Football :Club
- Phone :+255762096087
- Country :Tanzania
- Email :stonecityfciringa@gmail.com
Get in Touch
Kuwa Huru kuwasiliana nasi